Posts

JUICE YA MATUNDA

Image
                  * MAHITAJI * *__*Passion 12 *__*Embe 1 *__*Kitango 1 *__*Karoti 1 Jinsi ya kutengeneza juisi yako *Hatua 1* Pandua passion zako 12 baadae weka kwenye chombo chako *Hatua 2* Menya embe lako baadae kata vipande vipande than weka kwenye chombo chako *Hatua 3* Kata kata kitango chako vipande vidogo vidogo baadae weka kwenye chombo chako *Hatua 4* Kata kata karoti yako baadae weka kwenye chombo chako *Hatua 5* Changanya matunda yako yote baadae weka kwenye blenda yako pia weka maji robo kikombe na uanze kusaga mchanganyiko wako *Hatua 6* Baada ya kusaga vizuri mchanganyiko wako toa kwenye blenda yako baadae weka kwenye chombo chako *Hatua 7* Chuja juisi yako vizuri kwa kichujio *Hatua 8* Weka sukari kiasi (vijiko 7 vidogo vya chakula) *Hatua 9* Weka juisi yako kwenye friji au friza *Hatua 10* Baada ya kuweka kwenye friji Hapo juisi yako ipo tayar kwa kunywa